Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 21 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿وَقَاسَمَهُمَآ إِنِّي لَكُمَا لَمِنَ ٱلنَّٰصِحِينَ ﴾
[الأعرَاف: 21]
﴿وقاسمهما إني لكما لمن الناصحين﴾ [الأعرَاف: 21]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Shetani Aliwaapia Ādam na Ḥawwā’ kwa Mwenyezi Mungu kwamba yeye ni miongoni mwa wale wanaowapa nasaha kwa kuwashauri kula kutoka mti ule, huku yeye ni mrongo katika hilo |