×

Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola 72:10 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jinn ⮕ (72:10) ayat 10 in Swahili

72:10 Surah Al-Jinn ayat 10 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 10 - الجِن - Page - Juz 29

﴿وَأَنَّا لَا نَدۡرِيٓ أَشَرٌّ أُرِيدَ بِمَن فِي ٱلۡأَرۡضِ أَمۡ أَرَادَ بِهِمۡ رَبُّهُمۡ رَشَدٗا ﴾
[الجِن: 10]

Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأنا لا ندري أشر أريد بمن في الأرض أم أراد بهم ربهم, باللغة السواحيلية

﴿وأنا لا ندري أشر أريد بمن في الأرض أم أراد بهم ربهم﴾ [الجِن: 10]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na kwamba sisi, mkusanyiko wa majini, hatujui: ni mabaya ambayo Mwenyezi Mungu Anataka kuwateremshia watu wa ardhini au Anawatakia mazuri na uongofu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek