Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 11 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَنَّا مِنَّا ٱلصَّٰلِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَۖ كُنَّا طَرَآئِقَ قِدَدٗا ﴾
[الجِن: 11]
﴿وأنا منا الصالحون ومنا دون ذلك كنا طرائق قددا﴾ [الجِن: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na kwamba sisi, miongoni mwetu kuna wema wachamungu na miongoni mwetu kuna watu ambao wako chini ya hapo: wao ni makafiri na wenye kuasi. Sisi tuko mapote na mila tofauti |