Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 16 - الجِن - Page - Juz 29
﴿وَأَلَّوِ ٱسۡتَقَٰمُواْ عَلَى ٱلطَّرِيقَةِ لَأَسۡقَيۡنَٰهُم مَّآءً غَدَقٗا ﴾
[الجِن: 16]
﴿وألو استقاموا على الطريقة لأسقيناهم ماء غدقا﴾ [الجِن: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau makafiri wa kibinadamu na kijini wangalifuata njia ya Uislamu na wasijiepushe nayo, tungaliwateremshia maji mengi na tungaliwakunjulia riziki duniani |