Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 17 - الجِن - Page - Juz 29
﴿لِّنَفۡتِنَهُمۡ فِيهِۚ وَمَن يُعۡرِضۡ عَن ذِكۡرِ رَبِّهِۦ يَسۡلُكۡهُ عَذَابٗا صَعَدٗا ﴾
[الجِن: 17]
﴿لنفتنهم فيه ومن يعرض عن ذكر ربه يسلكه عذابا صعدا﴾ [الجِن: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr ili tuwafanyie mtihani: vipi watazishukuru neema za Mwenyezi Mungu juu yao? Na yoyote mwenye kupa mgongo utiifu wa Mwenyezi Mungu na kusikiliza Qur’ani na kuizingatia na kuifuata kivitendo, Mwenyezi Mungu Atamuingiza kwenye adhabu kali iliyo ngumu |