Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 25 - الجِن - Page - Juz 29
﴿قُلۡ إِنۡ أَدۡرِيٓ أَقَرِيبٞ مَّا تُوعَدُونَ أَمۡ يَجۡعَلُ لَهُۥ رَبِّيٓ أَمَدًا ﴾
[الجِن: 25]
﴿قل إن أدري أقريب ما توعدون أم يجعل له ربي أمدا﴾ [الجِن: 25]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waambie hawa washirikina, ewe Mtume, Mimi sijui: Je adhabu hii mliyoahidiwa zishakaribia zama zake au Mola wangu ataufanya muda wake wa kuja uwe mrefu |