Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 26 - الجِن - Page - Juz 29
﴿عَٰلِمُ ٱلۡغَيۡبِ فَلَا يُظۡهِرُ عَلَىٰ غَيۡبِهِۦٓ أَحَدًا ﴾
[الجِن: 26]
﴿عالم الغيب فلا يظهر على غيبه أحدا﴾ [الجِن: 26]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Yeye, kutakasika na sifa za upungufu ni Kwake, ni mjuzi wa kisichoonekana na macho. Hatakitoa wazi hiko kisichoonekana kwa yoyote miongoni mwa viumbe Wake |