×

Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume 72:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Jinn ⮕ (72:6) ayat 6 in Swahili

72:6 Surah Al-Jinn ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Jinn ayat 6 - الجِن - Page - Juz 29

﴿وَأَنَّهُۥ كَانَ رِجَالٞ مِّنَ ٱلۡإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٖ مِّنَ ٱلۡجِنِّ فَزَادُوهُمۡ رَهَقٗا ﴾
[الجِن: 6]

Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا, باللغة السواحيلية

﴿وأنه كان رجال من الإنس يعوذون برجال من الجن فزادوهم رهقا﴾ [الجِن: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
«Na kwamba wanaume miongoni mwa binadamu walikuwa wakijilinda na wanaume miongoni mwa majini, na hawa wanaume wa kijini wakawazidi binadamu kwa kuwa binadamu wanajilinda nao kwa hofu, kicho na kutishika.» Kujilinda huku na asiyekuwa Mwenyezi Mungu, ambako Mwenyezi Munghu Aliwatangazia watu wa zama za watu wa ujinga, ni katika ushirikina mkubwa ambao Mwenyezi Mungu hausamehe isipokuwa kwa kutubia kidhati kutokana nao. Katika aya hii pana onyo kali juu ya kitendo cha kuwaewndea wachawi, makuhani na mfano wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek