Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 11 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿وَذَرۡنِي وَٱلۡمُكَذِّبِينَ أُوْلِي ٱلنَّعۡمَةِ وَمَهِّلۡهُمۡ قَلِيلًا ﴾
[المُزمل: 11]
﴿وذرني والمكذبين أولي النعمة ومهلهم قليلا﴾ [المُزمل: 11]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uniache mimi, ewe Mtume, na hawa wakanushaji wa aya zangu, wenye starehe na gogi la ulimwengu, na uwape muhula wa muda mchache kwa kucheleweshewa adhabu mpaka muda wa wao kuadhibiwa ufikie ukomo wake |