Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 10 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿وَٱصۡبِرۡ عَلَىٰ مَا يَقُولُونَ وَٱهۡجُرۡهُمۡ هَجۡرٗا جَمِيلٗا ﴾
[المُزمل: 10]
﴿واصبر على ما يقولون واهجرهم هجرا جميلا﴾ [المُزمل: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na uvumilie kwa yale ambayo washirikina wanayasema kuhusu wewe na kuhusu Dini yako. Na uende kinyume na wao katika maneno yao ya ubatilifu pamoja na kuwapuuza na kuacha kuwalipiza |