Quran with Swahili translation - Surah Al-Muzzammil ayat 9 - المُزمل - Page - Juz 29
﴿رَّبُّ ٱلۡمَشۡرِقِ وَٱلۡمَغۡرِبِ لَآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ فَٱتَّخِذۡهُ وَكِيلٗا ﴾
[المُزمل: 9]
﴿رب المشرق والمغرب لا إله إلا هو فاتخذه وكيلا﴾ [المُزمل: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yeye Ndiye Mmiliki wa Mashariki na Magharibi. Hakuna muabudiwa ka haki isipokuwa Yeye. Basi mtegemee Yeye na umuachie Yeye mambo yako |