Quran with Swahili translation - Surah Al-Qiyamah ayat 4 - القِيَامة - Page - Juz 29
﴿بَلَىٰ قَٰدِرِينَ عَلَىٰٓ أَن نُّسَوِّيَ بَنَانَهُۥ ﴾
[القِيَامة: 4]
﴿بلى قادرين على أن نسوي بنانه﴾ [القِيَامة: 4]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ndio! Tutaikusanya na tunaweza kufanya vidole vyake au ncha za vidole vyake- baada ya kuvikusanya na kuzioanisha- viwe kwenye umbo la sawasawa, kama vilivyokuwa kabla ya kufa |