Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 10 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّا نَخَافُ مِن رَّبِّنَا يَوۡمًا عَبُوسٗا قَمۡطَرِيرٗا ﴾
[الإنسَان: 10]
﴿إنا نخاف من ربنا يوما عبوسا قمطريرا﴾ [الإنسَان: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa kweli, sisi tunaiogopa, kutoka kwa Mola wetu, Siku ngumu ambayo ndani yake nyuso zitakunjana na mapaji yatasinyaa kutokana na mambo yake mazito na vituko vyake vikubwa |