Quran with Swahili translation - Surah Al-Insan ayat 27 - الإنسَان - Page - Juz 29
﴿إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ يُحِبُّونَ ٱلۡعَاجِلَةَ وَيَذَرُونَ وَرَآءَهُمۡ يَوۡمٗا ثَقِيلٗا ﴾
[الإنسَان: 27]
﴿إن هؤلاء يحبون العاجلة ويذرون وراءهم يوما ثقيلا﴾ [الإنسَان: 27]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwa hakika hawa washirikina wanaupenda ulimwengu na wanaushughulikia, na wanakuacha nyuma ya migongo yao kule kufanya matendo ya kuwafaa Akhera na kuwaokoa katika Siku yenye shida kubwa |