Quran with Swahili translation - Surah An-Naba’ ayat 30 - النَّبَإ - Page - Juz 30
﴿فَذُوقُواْ فَلَن نَّزِيدَكُمۡ إِلَّا عَذَابًا ﴾
[النَّبَإ: 30]
﴿فذوقوا فلن نـزيدكم إلا عذابا﴾ [النَّبَإ: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi Onjeni, enyi makafiri, hayo yakiwa ni malipo ya vitendo vyenu, Hatutawazidishia isipokuwa adhabu juu ya adhabu yenu |