Quran with Swahili translation - Surah An-Nazi‘at ayat 40 - النَّازعَات - Page - Juz 30
﴿وَأَمَّا مَنۡ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِۦ وَنَهَى ٱلنَّفۡسَ عَنِ ٱلۡهَوَىٰ ﴾
[النَّازعَات: 40]
﴿وأما من خاف مقام ربه ونهى النفس عن الهوى﴾ [النَّازعَات: 40]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ama yule atakayeogopa kusimama mbele ya Mwenyezi Mungu kuhesabiwa na akaikanya nafsi yake na matamanio mapotofu |