×

Lakini wana jambo gani hata Mwenyezi Mungu asiwaadhibu, na hali ya kuwa 8:34 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:34) ayat 34 in Swahili

8:34 Surah Al-Anfal ayat 34 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 34 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَمَا لَهُمۡ أَلَّا يُعَذِّبَهُمُ ٱللَّهُ وَهُمۡ يَصُدُّونَ عَنِ ٱلۡمَسۡجِدِ ٱلۡحَرَامِ وَمَا كَانُوٓاْ أَوۡلِيَآءَهُۥٓۚ إِنۡ أَوۡلِيَآؤُهُۥٓ إِلَّا ٱلۡمُتَّقُونَ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَهُمۡ لَا يَعۡلَمُونَ ﴾
[الأنفَال: 34]

Lakini wana jambo gani hata Mwenyezi Mungu asiwaadhibu, na hali ya kuwa wanawazuilia watu Msikiti Mtakatifu? Wala wao hawakuwa ndio walinzi wake, bali walinzi wake hawakuwa ila wacha-Mngu tu. Lakini wengi katika wao hawajui

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما لهم ألا يعذبهم الله وهم يصدون عن المسجد الحرام وما كانوا, باللغة السواحيلية

﴿وما لهم ألا يعذبهم الله وهم يصدون عن المسجد الحرام وما كانوا﴾ [الأنفَال: 34]

❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek