×

Na haikuwa ibada yao kwenye hiyo Nyumba (Al Kaaba) ila ni kupiga 8:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:35) ayat 35 in Swahili

8:35 Surah Al-Anfal ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 35 - الأنفَال - Page - Juz 9

﴿وَمَا كَانَ صَلَاتُهُمۡ عِندَ ٱلۡبَيۡتِ إِلَّا مُكَآءٗ وَتَصۡدِيَةٗۚ فَذُوقُواْ ٱلۡعَذَابَ بِمَا كُنتُمۡ تَكۡفُرُونَ ﴾
[الأنفَال: 35]

Na haikuwa ibada yao kwenye hiyo Nyumba (Al Kaaba) ila ni kupiga miunzi na makofi. Basi onjeni adhabu kwa vile mlivyo kuwa mkikufuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما كان صلاتهم عند البيت إلا مكاء وتصدية فذوقوا العذاب بما كنتم, باللغة السواحيلية

﴿وما كان صلاتهم عند البيت إلا مكاء وتصدية فذوقوا العذاب بما كنتم﴾ [الأنفَال: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakukuwa kuswali kwao kwenye Msikiti wa H(arām isipokuwa ni kupiga mbinja na kupiga makofi, basi onjeni adhabu ya kuuawa na kutekwa siku ya Badr kwa sababu ya kukanusha kwenu na vitendo vyenu ambavyo hakuna mwenye kujitokeza kuvitenda isipokuwa makafiri wenye kukataa upweke wa Mola wao na utume wa Nabii wao)
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek