Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 59 - الأنفَال - Page - Juz 10
﴿وَلَا يَحۡسَبَنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ سَبَقُوٓاْۚ إِنَّهُمۡ لَا يُعۡجِزُونَ ﴾
[الأنفَال: 59]
﴿ولا يحسبن الذين كفروا سبقوا إنهم لا يعجزون﴾ [الأنفَال: 59]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wasidhanie wale ambao walizikanusha aya za Mwenyezi Mungu kwamba wao washapita na washaokoka na kwamba Mwenyezi Mungu Hawawezi; hakika wao hawatakwepa adhabu ya Mwenyezi Mungu |