×

Na ukichelea khiana kwa watu fulani basi watupilie ahadi yao kwa usawa. 8:58 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Anfal ⮕ (8:58) ayat 58 in Swahili

8:58 Surah Al-Anfal ayat 58 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Anfal ayat 58 - الأنفَال - Page - Juz 10

﴿وَإِمَّا تَخَافَنَّ مِن قَوۡمٍ خِيَانَةٗ فَٱنۢبِذۡ إِلَيۡهِمۡ عَلَىٰ سَوَآءٍۚ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُحِبُّ ٱلۡخَآئِنِينَ ﴾
[الأنفَال: 58]

Na ukichelea khiana kwa watu fulani basi watupilie ahadi yao kwa usawa. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi makhaini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وإما تخافن من قوم خيانة فانبذ إليهم على سواء إن الله لا, باللغة السواحيلية

﴿وإما تخافن من قوم خيانة فانبذ إليهم على سواء إن الله لا﴾ [الأنفَال: 58]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ukiogopa, ewe Mtume, hiana ambayo ishara zake zimejitokeza, kutoka kwa kundi lolote, basi watupilie mbali ahadi yao, ili zote pande mbili ziwe zimelingana kwa kujua kwamba hapana tena mapatano baada ya leo. Hakika Mwenyezi Mungu hawapendi wenye kuenda kinyume na ahadi zao, wavunjaji ahadi na mapatano
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek