Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 6 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡإِنسَٰنُ مَا غَرَّكَ بِرَبِّكَ ٱلۡكَرِيمِ ﴾
[الانفِطَار: 6]
﴿ياأيها الإنسان ما غرك بربك الكريم﴾ [الانفِطَار: 6]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Ewe binadamu unayekanusha kufufuliwa! Ni kipi kilichokufanya uhadaike na ughurike kuhusu Mola wako Mpaji Mwenye kheri nyingi, Anayestahiki kushukuriwa na kutiiwa |