Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 7 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿ٱلَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّىٰكَ فَعَدَلَكَ ﴾
[الانفِطَار: 7]
﴿الذي خلقك فسواك فعدلك﴾ [الانفِطَار: 7]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kwani si Yeye Aliyekuumba, Akalisawazisha umbo lako, Akakuweka katika hali ya sawa na Akakurekibisha ili uweze kutekeleza nyadhifa zako |