Quran with Swahili translation - Surah Al-InfiTar ayat 5 - الانفِطَار - Page - Juz 30
﴿عَلِمَتۡ نَفۡسٞ مَّا قَدَّمَتۡ وَأَخَّرَتۡ ﴾
[الانفِطَار: 5]
﴿علمت نفس ما قدمت وأخرت﴾ [الانفِطَار: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakati huo itajua kila nafsi vitendo vyake vyote ilivyovifanya, vilivyotangulia na vilivyoahirika na italipwa kwa vitendo hivyo |