Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 19 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿لَتَرۡكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٖ ﴾
[الانشِقَاق: 19]
﴿لتركبن طبقا عن طبق﴾ [الانشِقَاق: 19]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mtapitia, enyi watu, miongo mbalimbali na hali tofauti : kutoka kwenye tone la manii, kuptia pande la damu, nofu la nyama hadi kutiwa roho, mpaka kufa na mpaka kufufuliwa. Haifai kwa kiumbe kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, afanyapo hilo atakuwa ameingia kwenye ushirikina |