Quran with Swahili translation - Surah Al-Inshiqaq ayat 23 - الانشِقَاق - Page - Juz 30
﴿وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُوعُونَ ﴾
[الانشِقَاق: 23]
﴿والله أعلم بما يوعون﴾ [الانشِقَاق: 23]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi zaidi wa ukaidi wao wanaouficha kwenye nyoyo zao hali wao wanajua kuwa yale yaliyoletwa na Qur’ani ni kweli |