×

Hakika walio amini na wakatenda mema watapata Bustani zenye mito ipitayo kati 85:11 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Buruj ⮕ (85:11) ayat 11 in Swahili

85:11 Surah Al-Buruj ayat 11 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Buruj ayat 11 - البُرُوج - Page - Juz 30

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ لَهُمۡ جَنَّٰتٞ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُۚ ذَٰلِكَ ٱلۡفَوۡزُ ٱلۡكَبِيرُ ﴾
[البُرُوج: 11]

Hakika walio amini na wakatenda mema watapata Bustani zenye mito ipitayo kati yake. Huko ndiko kufuzu kukubwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين آمنوا وعملوا الصالحات لهم جنات تجري من تحتها الأنهار ذلك, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين آمنوا وعملوا الصالحات لهم جنات تجري من تحتها الأنهار ذلك﴾ [البُرُوج: 11]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wale waliomuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake na wakafanya amali njema, watapata Pepo ambayo chini ya majumba yake ya kifahari yapita mito. Huko ni kufaulu kukubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek