Quran with Swahili translation - Surah Al-Buruj ayat 9 - البُرُوج - Page - Juz 30
﴿ٱلَّذِي لَهُۥ مُلۡكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۚ وَٱللَّهُ عَلَىٰ كُلِّ شَيۡءٖ شَهِيدٌ ﴾
[البُرُوج: 9]
﴿الذي له ملك السموات والأرض والله على كل شيء شهيد﴾ [البُرُوج: 9]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi Ambaye, kutakasika na sifa za upungufu ni kwake, Anashuhudia kila kitu, hakuna kinachofichika kwake |