Quran with Swahili translation - Surah Al-Buruj ayat 8 - البُرُوج - Page - Juz 30
﴿وَمَا نَقَمُواْ مِنۡهُمۡ إِلَّآ أَن يُؤۡمِنُواْ بِٱللَّهِ ٱلۡعَزِيزِ ٱلۡحَمِيدِ ﴾
[البُرُوج: 8]
﴿وما نقموا منهم إلا أن يؤمنوا بالله العزيز الحميد﴾ [البُرُوج: 8]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hawakuwatesa mateso hayo isipokuwa wenye kuteswa walikuwa wanamuamini Mwenyezi Mungu Mshindi Asiyeshindwa, Mhimidiwa wa maneno Yake vitendo Vyake na sifa Zake |