Quran with Swahili translation - Surah Al-Fajr ayat 17 - الفَجر - Page - Juz 30
﴿كـَلَّاۖ بَل لَّا تُكۡرِمُونَ ٱلۡيَتِيمَ ﴾
[الفَجر: 17]
﴿كلا بل لا تكرمون اليتيم﴾ [الفَجر: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hali ya mambo si kama anavyodhania binadamu huyu, kwani mtu hutukuzwa kwa kumtii Mwenyzi Mungu na hufanywa mnyonge kwa kumuasi Mwenyezi Mungu. Na nyinyi hamwakirimu mayatima na kuwatendea wema |