×

Na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka. Wanapo pewa wao 9:58 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah At-Taubah ⮕ (9:58) ayat 58 in Swahili

9:58 Surah At-Taubah ayat 58 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah At-Taubah ayat 58 - التوبَة - Page - Juz 10

﴿وَمِنۡهُم مَّن يَلۡمِزُكَ فِي ٱلصَّدَقَٰتِ فَإِنۡ أُعۡطُواْ مِنۡهَا رَضُواْ وَإِن لَّمۡ يُعۡطَوۡاْ مِنۡهَآ إِذَا هُمۡ يَسۡخَطُونَ ﴾
[التوبَة: 58]

Na miongoni mwao wapo wanao kusengenya katika kugawa sadaka. Wanapo pewa wao huridhika. Na wakito pewa hukasirika

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومنهم من يلمزك في الصدقات فإن أعطوا منها رضوا وإن لم يعطوا, باللغة السواحيلية

﴿ومنهم من يلمزك في الصدقات فإن أعطوا منها رضوا وإن لم يعطوا﴾ [التوبَة: 58]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na miongoni mwa wanafiki, kuna wale wanaokutia kombo katika kugawanya sadaka: wapatapo fungu wanaridhika na wananyamaza, na wasipobahatika kupata fungu wanakukasirikia na kukuumbua
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek