Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shams ayat 14 - الشَّمس - Page - Juz 30
﴿فَكَذَّبُوهُ فَعَقَرُوهَا فَدَمۡدَمَ عَلَيۡهِمۡ رَبُّهُم بِذَنۢبِهِمۡ فَسَوَّىٰهَا ﴾
[الشَّمس: 14]
﴿فكذبوه فعقروها فدمدم عليهم ربهم بذنبهم فسواها﴾ [الشَّمس: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakamkanusha na kulipuza onyo lake wakamchinja.Mola wao Akawafinika kwa adhabu, akaisawazisha juu yao na hakuna aliyeweza kuponyoka |