Quran with Swahili translation - Surah Al-‘Alaq ayat 15 - العَلَق - Page - Juz 30
﴿كـَلَّا لَئِن لَّمۡ يَنتَهِ لَنَسۡفَعَۢا بِٱلنَّاصِيَةِ ﴾
[العَلَق: 15]
﴿كلا لئن لم ينته لنسفعا بالناصية﴾ [العَلَق: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi mambo si kama anvyodai Abu Jahl. Na asipokomeka na ushindani alionao na udhia wake, Tutamshika upaa wake kwa nguvu na kumtia Motoni |