×

Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina wataingia katika 98:6 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Bayyinah ⮕ (98:6) ayat 6 in Swahili

98:6 Surah Al-Bayyinah ayat 6 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Bayyinah ayat 6 - البَينَة - Page - Juz 30

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ مِنۡ أَهۡلِ ٱلۡكِتَٰبِ وَٱلۡمُشۡرِكِينَ فِي نَارِ جَهَنَّمَ خَٰلِدِينَ فِيهَآۚ أُوْلَٰٓئِكَ هُمۡ شَرُّ ٱلۡبَرِيَّةِ ﴾
[البَينَة: 6]

Hakika walio kufuru miongoni mwa Watu wa Kitabu na washirikina wataingia katika Moto wa Jahannamu wadumu milele humo. Hao ndio viumbe waovu kabisa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين كفروا من أهل الكتاب والمشركين في نار جهنم خالدين فيها, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين كفروا من أهل الكتاب والمشركين في نار جهنم خالدين فيها﴾ [البَينَة: 6]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale waliokufuru miongoni mwa Mayahudi na Wanaswara na Washirikina, mateso yao ni Moto wa Jahanamu. Watakuwa ni wenye kukaa milele humo. Wao ndio viumbe waovu kabisa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek