×

Na uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina 10:105 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yunus ⮕ (10:105) ayat 105 in Swahili

10:105 Surah Yunus ayat 105 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 105 - يُونس - Page - Juz 11

﴿وَأَنۡ أَقِمۡ وَجۡهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفٗا وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلۡمُشۡرِكِينَ ﴾
[يُونس: 105]

Na uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وأن أقم وجهك للدين حنيفا ولا تكونن من المشركين, باللغة السواحيلية

﴿وأن أقم وجهك للدين حنيفا ولا تكونن من المشركين﴾ [يُونس: 105]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na ujisimamishe imara, ewe Mtume, juu ya dini ya Uislamu, hali ya kulingana sawa juu yake, usiwe ni mwenye kupotoka na kuwa kando nayo ukaelekea kwenye Uyahudi au Unaswara wala kumuabudu asiyekuwa Yeye. Wala usiwe ni miongoni mwa wale wanaoshirikisha, katika ibada ya Mola wao, waungu na wale wanaodai kuwa wanafanana na Yeye, kwani ufanyapo hilo utakuwa ni miongoni mwa watakaoangamia. Maneno haya ingawa anaambiwa Mtume, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, pia wanaambiwa umma wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek