Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 17 - يُونس - Page - Juz 11
﴿فَمَنۡ أَظۡلَمُ مِمَّنِ ٱفۡتَرَىٰ عَلَى ٱللَّهِ كَذِبًا أَوۡ كَذَّبَ بِـَٔايَٰتِهِۦٓۚ إِنَّهُۥ لَا يُفۡلِحُ ٱلۡمُجۡرِمُونَ ﴾
[يُونس: 17]
﴿فمن أظلم ممن افترى على الله كذبا أو كذب بآياته إنه لا﴾ [يُونس: 17]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapana yoyote mwenye udhalimu mkubwa zaidi kuliko yule aliyemzulia Mwenyezi Mungu urongo au akazikanusha aya Zake. Hakika ni kwamba hawatafuzu waliowakanusha Manabii wa Mwenyezi Mungu na Mitume Wake wala hawatafaulu |