Quran with Swahili translation - Surah Yunus ayat 44 - يُونس - Page - Juz 11
﴿إِنَّ ٱللَّهَ لَا يَظۡلِمُ ٱلنَّاسَ شَيۡـٔٗا وَلَٰكِنَّ ٱلنَّاسَ أَنفُسَهُمۡ يَظۡلِمُونَ ﴾
[يُونس: 44]
﴿إن الله لا يظلم الناس شيئا ولكن الناس أنفسهم يظلمون﴾ [يُونس: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Hawadhulumu watu kitu chochote, kwa kuwaongezea makosa yao na kuwapunguzia mema yao, lakini watu ndio wanaojidhulumu nafsi zao kwa kukufuru, kuasi na kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na makatazo Yake |