×

Hakika katika haya ipo ishara kwa yule anaye ogopa adhabu ya Akhera. 11:103 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:103) ayat 103 in Swahili

11:103 Surah Hud ayat 103 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 103 - هُود - Page - Juz 12

﴿إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَأٓيَةٗ لِّمَنۡ خَافَ عَذَابَ ٱلۡأٓخِرَةِۚ ذَٰلِكَ يَوۡمٞ مَّجۡمُوعٞ لَّهُ ٱلنَّاسُ وَذَٰلِكَ يَوۡمٞ مَّشۡهُودٞ ﴾
[هُود: 103]

Hakika katika haya ipo ishara kwa yule anaye ogopa adhabu ya Akhera. Hiyo ndiyo Siku itakayo kusanyiwa watu, na hiyo ndiyo Siku itakayo shuhudiwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن في ذلك لآية لمن خاف عذاب الآخرة ذلك يوم مجموع له, باللغة السواحيلية

﴿إن في ذلك لآية لمن خاف عذاب الآخرة ذلك يوم مجموع له﴾ [هُود: 103]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika katika kuwapatiliza watu wa miji iliyotangulia iliyodhulumu, ni mazingatio na mawaidha kwa anayeogopa mateso ya Mwenyezi Mungu na adhabu Yake huko Akhea. Siku hiyo ni ambayo watakusanywa watu wote ili wahesabiwe na walipwe, na wataishuhudia viumbe wote
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek