×

Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma 11:118 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:118) ayat 118 in Swahili

11:118 Surah Hud ayat 118 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 118 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَلَوۡ شَآءَ رَبُّكَ لَجَعَلَ ٱلنَّاسَ أُمَّةٗ وَٰحِدَةٗۖ وَلَا يَزَالُونَ مُخۡتَلِفِينَ ﴾
[هُود: 118]

Na Mola wako Mlezi angeli penda ange wafanya watu wote wakawa umma mmoja. Lakini hawaachi kukhitalifiana

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولو شاء ربك لجعل الناس أمة واحدة ولا يزالون مختلفين, باللغة السواحيلية

﴿ولو شاء ربك لجعل الناس أمة واحدة ولا يزالون مختلفين﴾ [هُود: 118]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau Mola wako Alitaka, Angaliwafanya watu wote ni kundi moja, wako kwenye dini moja , nayo ni dini ya Uislamu. Lakini Yeye, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, hakutaka hivyo. Basi watu hawataacha kuendelea kutafautiana katika dini zao, na hayo ndiyo yanayoambatana na hekima Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek