×

Wala hakuwa Mola wako Mlezi wa kuihiliki miji kwa dhulma tu na 11:117 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:117) ayat 117 in Swahili

11:117 Surah Hud ayat 117 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 117 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَمَا كَانَ رَبُّكَ لِيُهۡلِكَ ٱلۡقُرَىٰ بِظُلۡمٖ وَأَهۡلُهَا مُصۡلِحُونَ ﴾
[هُود: 117]

Wala hakuwa Mola wako Mlezi wa kuihiliki miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni watenda mema

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما كان ربك ليهلك القرى بظلم وأهلها مصلحون, باللغة السواحيلية

﴿وما كان ربك ليهلك القرى بظلم وأهلها مصلحون﴾ [هُود: 117]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hakuwa Mola wako, ewe Mtume, ni Mwenye kuuangamiza mji wowote miongoni mwa miji na hali watu wake ni wenye kufanya mambo mazuri katika ardhi, wenye kujiepusha na uharibifu na udhalimu; Yeye huwaangamiza wao kwa sababu ya udhalimu wao na uharibifu wao
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek