×

Na Sisi tulimtuma Nuhu kwa watu wake, akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji 11:25 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:25) ayat 25 in Swahili

11:25 Surah Hud ayat 25 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 25 - هُود - Page - Juz 12

﴿وَلَقَدۡ أَرۡسَلۡنَا نُوحًا إِلَىٰ قَوۡمِهِۦٓ إِنِّي لَكُمۡ نَذِيرٞ مُّبِينٌ ﴾
[هُود: 25]

Na Sisi tulimtuma Nuhu kwa watu wake, akawaambia: Hakika mimi ni mwonyaji kwenu ninaye bainisha

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولقد أرسلنا نوحا إلى قومه إني لكم نذير مبين, باللغة السواحيلية

﴿ولقد أرسلنا نوحا إلى قومه إني لكم نذير مبين﴾ [هُود: 25]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika tulimtuma Nūḥ, kwa watu wake akasema kuwaambia, «Mimi ni muonyaji kwenu adhabu ya Mwenyezi Mungu, ni mwenye kuwabainishia yale niliyotumwa kwenu ya maamrisho ya Mwenyezi Mungu na makatazo yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek