Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 26 - هُود - Page - Juz 12
﴿أَن لَّا تَعۡبُدُوٓاْ إِلَّا ٱللَّهَۖ إِنِّيٓ أَخَافُ عَلَيۡكُمۡ عَذَابَ يَوۡمٍ أَلِيمٖ ﴾ 
[هُود: 26]
﴿أن لا تعبدوا إلا الله إني أخاف عليكم عذاب يوم أليم﴾ [هُود: 26]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr «Nawaamrisha kwamba msiabudu isipokuwa Mwenyezi Mungu. Mimi nawachelea nyinyi, mkitompwekesha Mwenyezi Mungu, Peke Yake, kwa Ibada, adhabu ya Siku yenye kuumiza.»  |