Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 30 - هُود - Page - Juz 12
﴿وَيَٰقَوۡمِ مَن يَنصُرُنِي مِنَ ٱللَّهِ إِن طَرَدتُّهُمۡۚ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ ﴾
[هُود: 30]
﴿وياقوم من ينصرني من الله إن طردتهم أفلا تذكرون﴾ [هُود: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na enyi watu wangu, ni nani mwenye kunizuia mimi na Mwenyezi Mungu Akinitesa kwa kuwafukuza kwangu Waumini? Kwani hamyazingatii mambo mkayajua yenye nafuu zaidi kwenu na yenye kufaa zaidi |