×

Wakasema: Je, unastaajabia amri ya Mwenyezi Mungu? Rehema ya Mwenyezi Mungu na 11:73 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Hud ⮕ (11:73) ayat 73 in Swahili

11:73 Surah Hud ayat 73 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Hud ayat 73 - هُود - Page - Juz 12

﴿قَالُوٓاْ أَتَعۡجَبِينَ مِنۡ أَمۡرِ ٱللَّهِۖ رَحۡمَتُ ٱللَّهِ وَبَرَكَٰتُهُۥ عَلَيۡكُمۡ أَهۡلَ ٱلۡبَيۡتِۚ إِنَّهُۥ حَمِيدٞ مَّجِيدٞ ﴾
[هُود: 73]

Wakasema: Je, unastaajabia amri ya Mwenyezi Mungu? Rehema ya Mwenyezi Mungu na baraka zake ziko juu yenu, enyi watu wa nyumba hii! Hakika Yeye ndiye Msifiwa wa kutukuzwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قالوا أتعجبين من أمر الله رحمة الله وبركاته عليكم أهل البيت إنه, باللغة السواحيلية

﴿قالوا أتعجبين من أمر الله رحمة الله وبركاته عليكم أهل البيت إنه﴾ [هُود: 73]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wajumbe walisema kumwambia , «Hivi wewe unaionea ajabu amri ya Mwenyezi Mungu na hukumu Yake? Rehema ya Mwenyezi Mungu na baraka Zake ziwashukie nyinyi, enyi watu wa nyumba ya unabii. Hakika Yeye, kutakata na kutukuka ni Kwake, ni mhimidiwa wa sifa na vitendo, ni Mwenye utukufu na ukubwa katika hizo.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek