×

Enyi wafungwa wenzangu wawili! Je, mabwana wengi wanao farikiana wao kwa wao 12:39 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:39) ayat 39 in Swahili

12:39 Surah Yusuf ayat 39 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 39 - يُوسُف - Page - Juz 12

﴿يَٰصَٰحِبَيِ ٱلسِّجۡنِ ءَأَرۡبَابٞ مُّتَفَرِّقُونَ خَيۡرٌ أَمِ ٱللَّهُ ٱلۡوَٰحِدُ ٱلۡقَهَّارُ ﴾
[يُوسُف: 39]

Enyi wafungwa wenzangu wawili! Je, mabwana wengi wanao farikiana wao kwa wao ni bora au Mwenyezi Mungu Mmoja Mwenye nguvu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ياصاحبي السجن أأرباب متفرقون خير أم الله الواحد القهار, باللغة السواحيلية

﴿ياصاحبي السجن أأرباب متفرقون خير أم الله الواحد القهار﴾ [يُوسُف: 39]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Yūsuf akaendelea kusema kuwaambia vijana wawili waliokuwa na yeye jela, «Je, kuwaabudu waungu walioumbwa wa aina mbalimbali ni bora au ni kumuabudu Mwenyezi Mungu Aliye Mmoja, Mwenye kutendesha nguvu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek