Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 95 - يُوسُف - Page - Juz 13
﴿قَالُواْ تَٱللَّهِ إِنَّكَ لَفِي ضَلَٰلِكَ ٱلۡقَدِيمِ ﴾
[يُوسُف: 95]
﴿قالوا تالله إنك لفي ضلالك القديم﴾ [يُوسُف: 95]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Waliohudhuria hapo kwake walisema, «Tunaapa kwa Mwenyezi Mungu kwamba wewe bado uko kwenye telezo lako la zamani la kumpenda Yūsuf na kwamba wewe hutamsahau.» |