×

Basi alipo fika mbashiri na akaiweka kanzu usoni pake alirejea kuona. Akasema: 12:96 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Yusuf ⮕ (12:96) ayat 96 in Swahili

12:96 Surah Yusuf ayat 96 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Yusuf ayat 96 - يُوسُف - Page - Juz 13

﴿فَلَمَّآ أَن جَآءَ ٱلۡبَشِيرُ أَلۡقَىٰهُ عَلَىٰ وَجۡهِهِۦ فَٱرۡتَدَّ بَصِيرٗاۖ قَالَ أَلَمۡ أَقُل لَّكُمۡ إِنِّيٓ أَعۡلَمُ مِنَ ٱللَّهِ مَا لَا تَعۡلَمُونَ ﴾
[يُوسُف: 96]

Basi alipo fika mbashiri na akaiweka kanzu usoni pake alirejea kuona. Akasema: Je! Sikukwambieni kuwa mimi najua ya Mwenyezi Mungu msiyo yajua nyinyi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فلما أن جاء البشير ألقاه على وجهه فارتد بصيرا قال ألم أقل, باللغة السواحيلية

﴿فلما أن جاء البشير ألقاه على وجهه فارتد بصيرا قال ألم أقل﴾ [يُوسُف: 96]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Alipokuja mwenye kumpa bishara Ya’qūb kwamba Yūsuf yuko hai, akaitupa kanzu ya Yūsuf usoni mwake akarudi Ya’qūb kuwa yuaona, akajawa na furaha na akawaambia waliokuwa hapo kwake, «Je, sikuwapa habari kwamba mimi nayajua kutoka kwa Mwenyezi Mungu msiyoyajua ya fadhila Zake, rehema Zake na ukarimu Wake.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek