×

Alif Lam Mym Ra. (A. L. M. R.) Hizi ni Ishara za 13:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Ra‘d ⮕ (13:1) ayat 1 in Swahili

13:1 Surah Ar-Ra‘d ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 1 - الرَّعد - Page - Juz 13

﴿الٓمٓرۚ تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡكِتَٰبِۗ وَٱلَّذِيٓ أُنزِلَ إِلَيۡكَ مِن رَّبِّكَ ٱلۡحَقُّ وَلَٰكِنَّ أَكۡثَرَ ٱلنَّاسِ لَا يُؤۡمِنُونَ ﴾
[الرَّعد: 1]

Alif Lam Mym Ra. (A. L. M. R.) Hizi ni Ishara za Kitabu. Na uliyo teremshiwa kutoka kwa Mola wako Mlezi ni Haki. Lakini wengi wa watu hawaamini

❮ Previous Next ❯

ترجمة: المر تلك آيات الكتاب والذي أنـزل إليك من ربك الحق ولكن أكثر, باللغة السواحيلية

﴿المر تلك آيات الكتاب والذي أنـزل إليك من ربك الحق ولكن أكثر﴾ [الرَّعد: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Alif, Lām, Mīm. Maelezo kuhusu herufi ziliokatwa na kutengwa yametangulia mwanzo wa sura ya Al-Baqarah. Hizi ni aya za Qur’ani zenye cheo kitukufu. Na Qur’ani hii uliyoteremshiwa, ewe Mtume, ndiyo haki, na sivyo kama vile wanavyosema washirikina kwamba wewe mwenyewe ndio uliyoileta. Pamoja na hili, wengi wa watu hawaiamini wala hawaifuati kivitendo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek