×

Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale 13:32 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Ra‘d ⮕ (13:32) ayat 32 in Swahili

13:32 Surah Ar-Ra‘d ayat 32 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 32 - الرَّعد - Page - Juz 13

﴿وَلَقَدِ ٱسۡتُهۡزِئَ بِرُسُلٖ مِّن قَبۡلِكَ فَأَمۡلَيۡتُ لِلَّذِينَ كَفَرُواْ ثُمَّ أَخَذۡتُهُمۡۖ فَكَيۡفَ كَانَ عِقَابِ ﴾
[الرَّعد: 32]

Na hakika walifanyiwa kejeli Mitume walio kuwa kabla yako. Na nikawapururia wale walio kufuru, kisha nikawashika! Basi ilikuwaje adhabu yangu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولقد استهزئ برسل من قبلك فأمليت للذين كفروا ثم أخذتهم فكيف كان, باللغة السواحيلية

﴿ولقد استهزئ برسل من قبلك فأمليت للذين كفروا ثم أخذتهم فكيف كان﴾ [الرَّعد: 32]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na iwapo wameufanyia shere ulinganizi wako, ewe Mtume, basi kuna ummah kabla yako waliwafanyia shere Mitume wao. Basi usiwe na masikitiko, niliwapa muhula wale waliokufuru kisha nikawapatiliza kwa mateso yangu; na yalikuwa ni mateso makali
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek