×

Mfano wa Bustani waliyo ahidiwa wachamngu, kati yake inapita mito, matunda yake 13:35 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ar-Ra‘d ⮕ (13:35) ayat 35 in Swahili

13:35 Surah Ar-Ra‘d ayat 35 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ar-Ra‘d ayat 35 - الرَّعد - Page - Juz 13

﴿۞ مَّثَلُ ٱلۡجَنَّةِ ٱلَّتِي وُعِدَ ٱلۡمُتَّقُونَۖ تَجۡرِي مِن تَحۡتِهَا ٱلۡأَنۡهَٰرُۖ أُكُلُهَا دَآئِمٞ وَظِلُّهَاۚ تِلۡكَ عُقۡبَى ٱلَّذِينَ ٱتَّقَواْۚ وَّعُقۡبَى ٱلۡكَٰفِرِينَ ٱلنَّارُ ﴾
[الرَّعد: 35]

Mfano wa Bustani waliyo ahidiwa wachamngu, kati yake inapita mito, matunda yake ni ya daima, na pia kivuli chake. Huu ndio mwisho wa wale walio walio jilinda. Na mwisho wa makafiri ni Moto

❮ Previous Next ❯

ترجمة: مثل الجنة التي وعد المتقون تجري من تحتها الأنهار أكلها دائم وظلها, باللغة السواحيلية

﴿مثل الجنة التي وعد المتقون تجري من تحتها الأنهار أكلها دائم وظلها﴾ [الرَّعد: 35]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sifa ya Pepo ambayo Mwenyezi Mungu Amewaahidi nayo wale wanaomuogopa na kwamba mito inapita chini ya miti yake na majumba yake ya fahari, Matunda yake hayamaliziki na kivuli chake hakiondoki. Malipo mema hayo ya Pepo ndio mwisho wa waliomuogopa Mwenyezi Mungu wakajiepusha na mambo ya kumuasi na wakatekeleza faradhi Zake. Na mwisho wa makafiri ni Moto
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek