Quran with Swahili translation - Surah Ibrahim ayat 49 - إبراهِيم - Page - Juz 13
﴿وَتَرَى ٱلۡمُجۡرِمِينَ يَوۡمَئِذٖ مُّقَرَّنِينَ فِي ٱلۡأَصۡفَادِ ﴾
[إبراهِيم: 49]
﴿وترى المجرمين يومئذ مقرنين في الأصفاد﴾ [إبراهِيم: 49]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utawaona,ewe Nabii, waasi Siku ya Kiyama wamefungwa pingu, mikono yao miguu yao yamekutanishwa pamoja kwa minyonyoro, na hali wakiwa watwevu |